Monday, 15 June 2015

MASKINI DOGO ASLEY ACHAPIWA DEMU WAKE NA KIPA WAA TIMU YA SIMBA TAZAMA WAKIWA CHUMBANI

Baada ya kuwapa majibu wale wote ambao waliokua wanadai kwamba ameshuka kiwango, hivi sasa watu wametaka kumjua zaidi huyo baby wa kipa Manyika Jr. Kama story ya kuwajibu wanaosema ameshuka kiwango cheki kwenye story za jana utaiona.
Detail za mpenzi wa Manyika Jr zimenifikia leo kwamba msichana huyo ambaye yupo mapenzini na kipa Manyika, alikua mpenzi wa msanii wa Yamoto Band Dogo Aslay.
Story zilitoka kwamba Aslay na Naima walikua mapenzi kiasi kwamba hadi Naima alichora tattoo ya jina la Aslay kwenye mkono wake.
Soudy Brown mzee wa udaku aliwai kutoa udaku kwambwa msichana huyo huyo Aslay aliporwa na msanii/mwanasoka Tundaman, lakini Tunda alikanusha habari hizo.
Lakini hivi sasa anaonekana yuko mapenzini na kipa Manyika na hii ni Baadhi ya Picha Wakiwa Kitandani .....

MASKINI DOGO ASLEY ACHAPIWA DEMU WAKE NA KIPA WAA TIMU YA SIMBA TAZAMA WAKIWA CHUMBANI Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin