Thursday, 25 June 2015

LAANA ONA HUYU MUUZA KITIMOTO ALIVYONASWA AKIFANYA NGONO JIKONI USIKU WA MANANE,

AMA kweli ufuska ni janga la kitaifa! Timu ya Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, imeshafumua matukio mengi yasiyofaa kwenye jamii lakini hili la waliobambwa ‘wakiduu’ jikoni, limetia fora, Ijumaa Wikienda lina kisa cha ajabu. 

Muuza kitimoto alivyonaswa akiduu jikoni.
Tukio hilo lilijiri wikiendi iliyopita maeneo ya Mwenge jijini Dar ambapo binti aliyejitambulisha kwa jina moja la Aisha alinaswa usiku wa manane akifanya ngono ndani ya kibanda cha mama ntilie, sehemu ya jikoni na kijana mmoja muuza kitimoto maarufu maeneo hayo aliyejitambulisha kwa jina moja la Samwel.
Mwanamke akivaa nguo zake baada ya kunaswa akiduu na muuza kitimoto ndani ya kibanda cha mama ntilie.
Ikiwa kazini, OFM inayoendelea kufumua maeneo korofi kwa biashara haramu ya ngono nchini, ilipokea taarifa kutoka kwa wakazi wa eneo hilo zikieleza kuwa licha ya gesti zinazokumbatia biashara ya ngono na madanguro bubu yaliyosheheni eneo hilo, kuna baadhi ya machangudoa wamebuni staili mpya ya kwenda kwenye vibanda vya mama ntilie.
Wakiwa na ripoti hiyo mkononi, makamanda wa OFM walitinga na ‘kusavei’ maeneo yote yanayotumika kwa biashara hizo na kuweka mitego yake ambapo ilipotimia majira ya saa 8:00 usiku ndipo iliposhuhudia mwanamke huyo akiingia ndani ya kibanda kimojawapo akiwa na mwanaume.
Kama kawaida, OFM iliwapa dakika chache watu hao ili waanze ‘kufanya yao’.
Wakiwa na vifaa vyao vya kazi, OFM waliingia ndani ya kibanda hicho na kuwakuta wawili hao wakibanjuka laivu jikoni ambapo waliwanasa na kuwafotoa picha za kutosha huku mwanaume akiangua kilio, tofauti na mwanamke ambaye alikuwa akiangua kicheko.
Wakizungumza na OFM kwa nyakati tofauti baada ya kutakiwa kujieleza ilikuwaje hadi wakafanyia ngono jikoni, wawili hao walisema kuwa walikodishiwa eneo hilo na jamaa mmoja aliyejulikana kwa jina la Babu ambaye huwatoza shilingi 1000/= kwa kila mwanamke anayeingia kibandani hapo na mwanaume.
Bila kupoteza muda, OFM iliwasiliana na Polisi wa Kituo cha Kijitonyama ‘Mabatini’, Dar ambao walifika eneo la tukio na kuwachukua wawili hao na kuwapeleka kituoni.
Katika hali ya kushangaza, jamaa aliyenaswa na mwanamke huyo aliwaacha polisi midomo wazi baada ya kudai kuwa Asha alibaki na chenji yake shilingi elfu tano aliyodai kumkabidhi kwa madai kuwa fedha hiyo ilikuwa ni sehemu ya mtaji wake wa kitimoto.
“Jamani ninakubali kupelekwa kituoni lakini naomba Asha anipe chenji yangu, elfu tano yenyewe nimeichukua kwenye mtaji wangu wa kitimoto,” alisema kijana huyo.
Hata hivyo, binti huyo hakuwa tayari kurejesha chenji hivyo wote waliishia kutupwa nyuma ya nondo katika Mahabusu ya Mabatini wakisubiri kufikishwa kwa pilato kujibu shitaka la uzururaji.
TAZAMA PICHA CHAFU HAPO CHINI

<<PHOTO ONE>>>

<<<PHOTO TWO>>

LAANA ONA HUYU MUUZA KITIMOTO ALIVYONASWA AKIFANYA NGONO JIKONI USIKU WA MANANE, Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin