Saturday, 13 June 2015

INASIKITISHA SANA KAMA UNA MOYO LAINI TAFADHALI USIDIRIKI KUSOMA HAPA

Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 16 alimuuliza mama yake: "Mama, utanifanyia nini nikifikisha umri wa miaka 18 (siku yangu ya kuzaliwa)
Mama akajibu:- "mwanangu bado una unasafari ndefu". mtoto yule lifikisha umri wa miaka 17, siku moja ghafla akaanguka chini.
Mama yake akambeba na kumuaisha hospitali, na daktari akasema: "Mama mwanao ana Moyo mkubwa pia limeonekana tundu katika moyo wake."
Mama akiwa na mwanae pale hospitali huku mama akiwa na mawazo nini cha kufanya, mtoto akamuuliza mama yake " Mama Madaktari wamekwambia mimi ninaenda kufa?? Mama akaanza kulia..
Baada ya muda wa mwaka nzima kijana huyu akiwa amefikisha mika 18 alirudishwa nyumbani kutokana na hali yake kuwa nzuri. baada ya kufika nyumbali alikuta barua ipo kwenye kitanda, iliyokuwa imeandikwa na mama yake.
Barua iliandikwa hivi: Mwanangu unasoma haya kwa sababu kila kitu kimeenda sawa mpaka sasa. kumbuka siku uliyoniambia siku ukifikisha miaka 18 nitakupa nini na hukufahamu kwanini sikukupa jibu. "Nimekupa moyo wangu take care of it and happy Birthday Son" alimalimaza kwa maneno hayo ya kingereza.
Mama alikufa kwasababu ya ili mwanae apone alitakiwa kutoa moyo wake awekewe mwanae.
Kama unaamini Hakuna kama "MAMA" hapa duniani
Andika Nakupenda "MAMA" na kama unamjali mama yako Unaweza SHARE, Iwafikie watu wengi zaidi. Ahsante


INASIKITISHA SANA KAMA UNA MOYO LAINI TAFADHALI USIDIRIKI KUSOMA HAPA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin