Friday, 5 June 2015

HII HAPA HABARI YA UONGO INAYOMHUSU LOWASA ILIYOSAMBAA JANA KABLA YA KWENDA KUCHUKUA FOMU

Mbunge wa Monduli ambaye aliwahi kuwa Waziri mkuu wa Tanzania Edward Lowassa amaeahirisha kuchukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi hadi siku ya kesho ambayo ni alhamisi.

Hadi sasa mwanasiasa  aliyefungua dimba la kuchukua fomu ya urais  ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalumu), Profesa Mark Mwandosya pamoja na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen Wassira.

Mwanasiasa anayefuata  mchana huu ni Amina Salum Ali.
Udaku Special Blog

HII HAPA HABARI YA UONGO INAYOMHUSU LOWASA ILIYOSAMBAA JANA KABLA YA KWENDA KUCHUKUA FOMU Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin