Saturday, 13 June 2015

HAYA JIONEE MWENYEWE WALIOPENDEZA NA WALIOCHEFUA KATIKA KTMA 2015 PALE MLIMANI CITY


Faiza Ally
Faiza Ally kama Kawaida yake ameweza kuwaacha watu Midomo wazi kwa kivazi hichi katika Red Carpet ya Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2015. 
Wema Sepetu
Wema Sepetu alitoka Hivi akiwa Kapendeza kama ilivyokawaida yake katika Sehemu mbalimbali za Tafrija huwaga haaribu hata Kidogo.
Petit-Man Wakuache
Petit-Man Wakuache naye alikuwa Miongoni mwa Wageni walioweza pata Mualiko wa kuhudhuria Tuzo hizo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2015. 
Ommy Dimpoz
Ommy Dimpoz akiwa na Mtangazaji wa CloudsTv akifanya Mahojiano kabla ya Kuanza Utolewaji wa Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2015. 
Kundi la  NavyKenzo wakiwa katika RedCarpet ya KTMA2015
Abby na Fetty
Mtangazaji wa Choice Fm Abby na Mtangazaji wa CloudsFm Dj Fety wakiwa katika pozi Kabla ya Kuanza Tuzo za Kilimanjaro 2

HAYA JIONEE MWENYEWE WALIOPENDEZA NA WALIOCHEFUA KATIKA KTMA 2015 PALE MLIMANI CITY Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin