Monday, 11 May 2015

WAJENZI WAGUNDUA NYOKA MKUBWA DUNIA NZIMA WAKATI WAKIJENGA BALABALA MTAZAME HAPA...!!!

Nyoka mkubwa amegunduliwa na wajenzi wa balabala ,ukiambiwa  saizi yake na ukubwa wake kwa ujumla huwezi kuamini,unaweza ukafikiri kwamba ni stori za kusadikika kumbe ni kweli

Hata hivyo tunaweza kusema kwamba hiyo picha sio halisi ukubwa wake unaweza ukawa umekuzwa tu kutoka kwenye engo ya kamera

Pamoja na hayo nyoka huyu bado ni mkubwa sana kuwahi kuonekana kwa hao wajenzi wa barabara.Inafanana na nyoka ile ambayo iligunduliwa huko kusini mashariki mwa  bala la asia

WAJENZI WAGUNDUA NYOKA MKUBWA DUNIA NZIMA WAKATI WAKIJENGA BALABALA MTAZAME HAPA...!!! Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin