Wednesday, 6 May 2015

KWA WANAUME TU:LAZIMA UFANYE HIVI VITU 5 KABLA YA KUANZA KUFANYA MAPENZI NA MPENZI WAKO.


Inakuwa usiku  tena pale ambapo unapokutana na mpenzi wako kitandani kwenye mambo yetu yale,unaamua kunywa vitu vichungu au madawa ya kuongeza nguvu za kiume ili tu kuweza kumridhisha mpenzi wako,na kumhakikishia kuwa wewe kweli ni kidume cha mbegu.Tunaomba tukufahamishe kuwa huhitaji vitu kama hivyo ili kuweza kumridhisha mpenzi wako.

Tumesikia na tumeona wanaume wengi wakikimbilia madawa ili kuweza kupata stamina ya kuweza kuwasaidia kuchukua au kudumu kwa muda mrefu kitandani.Lakini ukweli ni kwamba madawa mengi ya aina hiyo yanakuwa na madhara makubwa hapo baadaye ndiyo maana inashauriwa kuyaacha au kupunguza utumiaji wa madawa hayo

Kama unataka stamina ya kutosha au kudumu kwa muda mrefu kitandani hauhitaji kutumia madawa hayo yena.Mbinu hizi chache tu zitakusaidia kuweza kufanikiwa swala lako hilo,lakini wanaume wengi juwa hawazingatii hilo,kama wewe kweli unahitaji kubadilika basi soma hapa mbinu tano muhimu nimekuwekea hapa.

Kama mpenzi wako amekubali kuja leo jioni,unaweza kuanza kufanya mazoezi madogo madogo,kuanzia asubuhi.Hii haina maana ya kuenda kutembelea  "GYM" na kuanza kunyanyua mavyuma mazito ,hapana!
Unaweza kuamua kusafisha nyumba yako,ambayo pia ni aina ya mazoezi na ni kitu ambacho kwa kiasi fulani kitakusaidia kwa sababu akifika ataiona nyumba/chumba  chako kikiwa safi.Unaweza pia kucheza mziki wa nyimbo unazozipenda mpaka unapotoa jasho la kutosha na kusikia moyo wako unadunda kwa nguvu,pia unaweza kufanya mazoezi ya upepo[aerobics],hapa na pale ili kuweza kupata jasho au fanya vi pushapu kidogo.
Kwa kufanya hivi unasaidia kufanya damu yako izunguke kisawasawa,kwa kuchoma mafuta yaliyo ndani ya mwili na pia kuongeza stamina kwa sababu ili uweze kusimamisha unahitaji mzunguko wa kutosha wa damu kwenye mwili wako
Unajua kwanini wachezaji wa mpira wanashauriwa waoge maji  ya moto/uvuguvugu mara tu baada ya kipindi cha kwanza?Ni kwa sababu ya baridi yanaweza kukufanya uchoke.Sisi ni wanyama wenye damu ya uvuguvugu na siyo ya baridi,kwa hiyo unapoamua kuoga maji ya baridi  unachokifanya ni kupoza mzunguko wako wadamu na utajisikia kuchoka kwenye game na sio kupata mchemko wa mahaba
Maji ya uvuguvugu yanafanya damu yako ichemke kwenye kiwango sahihi cha joto la damu na kuweza kufanya msimamo wa uume wako kuwa mzuri.
Vyakula vizito vinachukua muda mrefu sana kuweza kumeng'enywa,kwa hiyo unaweza kuchoka sana wakati wa game na hutaweza kufanya vizuri kwenye mchezo wako.
Unashauriwa kuwa vyakula kama Ugari,maharage,Nyama , mihogo na Michembe , nk vinaweza vikasubiri kwanza na baada ya game vinaweza kuliwa
Kama  nilivyokueleza kwenye kipengele kilichopita,unashauriwa usile vyakula vizito.Hii haina maana kuwa usile kabisa.Vyakula bora vinavyotakiwa kuliwa hapa ni matunda pamoja na mboga za majani.Kwani matunda na mboga za majani vina maji mengi na vitakusaidia katika mzunguko wako wa damu
Saa 1 au saa 2 kabla ya mchezo kuanza hakikisha unakunywa maji ya kutosha,hii itakupa faida za kuweza kusaidia mzunguko wako wa damu kuwa mzuri na pia itakusaidia wakati wa kusimamisha pia
Unapokuwa unakunywa maji mengi utashanga kuona kuwa unakuwa na haja ndogo kwa mfurulizo hakikisha unakojoa mpaka kibofu kiwe tupu kabisa.Kwa kufanya hivo kutakusaidia wakati wa game kutokujihisi kukojoa.Utakapo jihisi kukojoa wakati wa kufanya mapenzi ni kitu kibaya kwani kitakusababishia ukojoe mapema na hilo litamfanua mpenzi wako asijisikie vizuri kwa kuwa unakuwa umetoa mzigo haraka haraka,ndo maana hakikisha unakojoa vyote kabla ya kuingia mzigoni

KWA WANAUME TU:LAZIMA UFANYE HIVI VITU 5 KABLA YA KUANZA KUFANYA MAPENZI NA MPENZI WAKO. Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin