Sunday, 31 May 2015

CHEKA NOMA! AMPIGA MTHAILAND KWA TKO, AMTOA VIDAMU PUANI

Cheka akimtifua Mthailand.
Pambano likiendelea.
Singwacha akiandaliwa na msaidizi wake dakika chache kabla ya pambano kuanza.
Sehemu ya mashuhuda wachache waliohudhuria pambano hilo.
Vidamu vikimchirizika Mthailand wa watu baada ya kuchezea ‘kabasero’.
BONDIA Francis Cheka jana aliendeleza ubabe kwa kumchapa bondia Kiatchai Singwancha kutoka Thailand katika pambano lililofanyika Ukumbi wa PTA uliopo Viwanja vya maonesho vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Pambano hilo Cheka alilimaliza katika raundi ya nane baada ya kumteua bega mpinzani wake.

CHEKA NOMA! AMPIGA MTHAILAND KWA TKO, AMTOA VIDAMU PUANI Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin