Thursday, 14 May 2015

AUNTY EZEKIEL AWACHEFUA MASHABIKI WAKE KWA PICHA ZA KITUMBO


Staa wa bongo movies, Aunt Ezekiel amepondwa na baadhi ya mashabiki wake kwa kupiga picha hizi akionyesha tumbo lake ukigingatia yeye ni mjamzito.

Picha hizi zimekuwa zikisambaa kwa kwenye mitandao ya kijamii na wengi wameonyesha kuchukizwa na tabia iliyozuka ya mastaa wa Bongo kufanya hivi kwa kuwaiga mastaa wa nchi za ughaibuni.

Wewe je, unamaoni gani juu ya hizi

AUNTY EZEKIEL AWACHEFUA MASHABIKI WAKE KWA PICHA ZA KITUMBO Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin