Thursday, 7 May 2015

ATAHARI YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA DAR NA PWANI


Eneo la Stendi ya Bagamoyo lilivyokumbwa na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha.
Maji yakitapakaa kila eneo hivyo kusababisha usafiri na biashara ndogondogo kusitishwa kwa mda.
Gari likiwa limesombwa na mafuriko.
Waliokuwemo kwenye gari hilo ni dereva na bossi wake ambao hawakufahamika majina lakini walifanikiwa kujiokoa.

ATAHARI YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA DAR NA PWANI Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin