Sunday, 24 May 2015

AJALI YA BASI LA SUPER FEO YAUA 3, YAJERUHI 28 MKOANI MBEYA

WATU watatu wamekufa papo hapo huku wengine 28 wakijeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Super Feo walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Mbeya kwenda Songea mkoani Ruvuma kupinduka na kutumbukia mtoni leo asubuhi.
Ajali hiyo imetokea katika Kijiji cha Shamwenga, Kata ya Inyara mkoani Mbeya.

AJALI YA BASI LA SUPER FEO YAUA 3, YAJERUHI 28 MKOANI MBEYA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin