Wednesday, 1 April 2015

ZARI AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA MSANII DIAMOND THE PLATNUMZ


 

hot news in town, is bwana mdogo naseeb abdul homa ya jiji imedhirika wazi leo kupitia mtandao kuwa amemvisha pete ya uchumba au engagement ring kwa mwanadada zari the bosslady, wadau wengi wamekuwa wakijudge yakuwa pete hiyo ilivishwa kwa

mambo ni kimya kimyaaa

madiniiii
sababu yakuwa eti mwanadada zari anaujauzito wa diamond the platnumz na anatarijia kujifungua mtoto wa kike but the truth is si kweli itakumbukwa yakuwa mwanadada wema sepetu pia alishawah kuvishwa pete hiyo so let us wait n see tuone yatakapoishia

ZARI AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA MSANII DIAMOND THE PLATNUMZ Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin