Monday, 27 April 2015

VIDEO: HIVI NDIVYO ERIC OMONDI ALIVYOIRUDIA NYIMBO YOTE YA DIAMOND PLATNUMZ- NASEMA NAWE

ERICO
Mara ya kwanza niliona vipisi vya hii video kwenye ukurasa wa Eric Omondi wa Instagram.. nikaviweka hapa alafu nikawa na hamu sana kuiona video kamili.
Katika pitapita zangu nimekutana nayo video kamili, Eric Omondi kaifanya REMIX ya wimbo wa ‘Nasema Nawe‘ ya Diamond Platumz, yeye yake ameiita ‘Nabeba Mawe‘.

VIDEO: HIVI NDIVYO ERIC OMONDI ALIVYOIRUDIA NYIMBO YOTE YA DIAMOND PLATNUMZ- NASEMA NAWE Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin