Wednesday, 8 April 2015

UKISOMA HAPA KAMWE HAUTO IDHARAU KIFO CHA MENDE TENA .. MAANA STAILI ZINGNE MADHARA YAKE HAYA HAPA

Kwa mujibu wa utafiti huo, mtindo ambao
mwanamke anakuwa juu ya mwanaume ndio hatari
zaidi na huwa na risk kubwa zaidi ya kusababisha
hata kuvunjika kwa uume (penile fracture).
Wanasayansi hao wanasema:
Pindi mwanamke anapokuwa juu, mara zote
hucontrol movement na uzito wote wa mwili wake
ukitua kwenye uume uliosimama na kushindwa
kuzuia pale uume unapokuwa umeingia vibaya
kwasababu madhara huwa ni madogo kwa

mwanamke bila maumivu lakini ni mabaya kwa
mwanaume.
“…Pindi mwanaume anapokuwa akicontrol
movement, ana nafasi kubwa ya kuzuia kutokana
na uume wake kuwa sehemu mbaya na hali
inayopelekea kusikia maumivu na hivyo kupunguza
hatari.

UKISOMA HAPA KAMWE HAUTO IDHARAU KIFO CHA MENDE TENA .. MAANA STAILI ZINGNE MADHARA YAKE HAYA HAPA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin