Friday, 3 April 2015

SIKILIZE HAPA ASKOFU GWAJIMA AKIZUNGUMZA NA KANISA LEO.AMTAJA ADUI YAKE WAZIG16


Askofu Dr Gwajima baada ya kutolewa jana ostarbey alipokwenda kuhojiwa,leo majira ya saa kumi na mbili kasoro alizungumza na Kanisa lake na kueleza kile kilicho tokea hadi kupelekea yeye kukaa kwenye kiti na kushindwa kutembea.Akiongea na maelfu ya waumini walio jitokeza katika ibada ya leo Askofu Gwajima
alisema haya….NANUKU-“Najua kinacho endelea namuombea mtu mmoja aliyeko hapa nasema nakufahamu vizuri nakujua vizuri na kwambia utafanikiwa kwa jina la Yesu…..huta fanikiwa kwa jina la Yesu.Usifurahi leo kuniona nimekaa kwenye kiti hiki bado nina maumivu,bado sina nguvu lakini nimesema leo lazima niende nyumbani mwa Bwana.

Wewe ni mtoto mdogo ujatoka mbali….mimi nimewahi kua sitembei kwa miaka 6,huyu aliye nifanya nitembe hawezi kukubali nikae kwenye hiki kiti tena…unatakiwa ujue”Mwisho wa Nukuu
SIKILIZA SAUTI YA ASKOFU GWAJIMA AKIZUNGUMZA KANISANI


SIKILIZE HAPA ASKOFU GWAJIMA AKIZUNGUMZA NA KANISA LEO.AMTAJA ADUI YAKE WAZI Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin