Thursday, 2 April 2015

MSANII KELLY ROWLAND APIGA PICHA ZA UTUPU AKIWA NA UJAUZITO

Msanii wa rnb Kelly Rowland au Kelly Glowland kwa jina lake la ndoa ameanza kujivunia ujauzito wake kwa kupiga picha za utupu zitakazoonekana kwenye jarida la Elle. Mkono moja ukifunika kifua na mwingine ukishikilia tumbo lake, Kelly amepiga picha kuonyesha umbo na muonekano wake akiwa mjamzito

MSANII KELLY ROWLAND APIGA PICHA ZA UTUPU AKIWA NA UJAUZITO Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin