Saturday, 25 April 2015

MKUU WA MKOA WA DAR AHUDHURIA SHINDANO LA SHINDA NDINGA LA E FM RADIO

Washiriki wa shindano la shinda ndinga na redio Efm 93.7 wakiendelea na mashindano.
Wafanyakazi wa redio Efm pamoja na watoaji huduma ya kwanza wakimpepea mshiriki aliyedondoka baada kushindwa kusimama kwa muda wa saa moja.
Watangazaji wa redio Efm Swebe Santana (kushoto) na mwenzie.
Wafanyakazi wa redio Efm, Afisa masoko Ramadhani Omary (kushoto), Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Denis Sebo (katikati) na Naibu Meya wa Manispaa ya Temeke, Juma Rajabu (kulia).
Washiriki wa shinda ndinga na redio Efm wakinyoosha viungo baada ya kusimama kwa muda uliopangwa.
Moja ya  gari linaloshindaniwa. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Paul Makonda na Naibu Meya wa Manispaa ya Temeke, Juma Rajabu (kulia).Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sadick Mek Sadiki, (wa pili kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Paul Makonda, Afisa masoko wa redio Efm, Ramadhani Omary pamoja na Naibu Meya wa Temeke, Juma Rajabu.

MKUU WA MKOA WA DAR AHUDHURIA SHINDANO LA SHINDA NDINGA LA E FM RADIO Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin