Sunday, 12 April 2015

KIVAZI CHA LINNAH CHAZUA GUMZO BAADA YA KUANIKA KILA KITU CHA MWILI WAKE NJE

MTOTO mzuri ndani ya anga la Bongo Fleva, Esterlinah Sanga ‘Linnah’ amezua gumzo la aina yake baada ya kutupia picha yake mtandaoni akiwa ametinga mavazi mafupi yaliyoacha sehemu kubwa ya mwili wake ikiwa wazi.

Mtoto mzuri ndani ya anga la Bongo Fleva, Esterlinah Sanga ‘Linnah’.

Linnah alitupia picha hiyo kupitia akaunti yake ya Instagram hivi karibuni na kuwafanya watu wengi wanaotumia mtandao huo kusambaziana picha hivyo huku kila mmoja akiibua maswali yake.Haya ni baadhi ya maoni ya watu tofauti kuhusiana na picha hiyo: ‘Mh! Hii amezidisha sasa Linnah jamani’, ‘amependeza msimfanyie hivyo mtoto wa watu’, ‘mzuri ni mzuri tu hata avae gunia, big up Linnah’

KIVAZI CHA LINNAH CHAZUA GUMZO BAADA YA KUANIKA KILA KITU CHA MWILI WAKE NJE Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin