Wednesday, 29 April 2015

HAYA NDIYO MAJIBU YA MWIGIZAJI ROSE NDAUKA BAADA YA KUHUSISHWA NA MATATIZO YA NDOA YA SHETTA


maxresdefault (1)Taarifa zilizomfikia Soudy Brown ni kwamba ndoa ya msanii Shetta imevunjika baada ya taarifa kumfikia mke wake kuwa Shetta anamahusiano na mwigizaji Rose Ndauka.
Soudy aliamua kumtafuta Rose Ndauka, majibu yake yalikuwa hivi; Kwanza kitu ambacho ningependa kumuambia asipende kusikiliza watu.. la pili kitu chochote ambacho kinahusiana na mahusiano sio vizuri kupeleka kwenye public… hata ingekuwa ni ukweli kile ambacho amesikia ni ukweli yeye kama mwanamke anapaswa kuwa strong asiondolewe nyumbani kwake kwa sababu ya mwanamke mwingine..
Kusikiliza stori yote ya U Heard bonyeza play hapa chini..

HAYA NDIYO MAJIBU YA MWIGIZAJI ROSE NDAUKA BAADA YA KUHUSISHWA NA MATATIZO YA NDOA YA SHETTA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin