Sunday, 12 April 2015

ETI UNASEMA 60 % YA AKINADADA WAFANYAKAZI WAMEPATA KAZI KWA KUTOA RUSHWA YA NGONO


Kumekuwa na tabia ya wanawake kutoa rushwa ya ngono makazini Kwa Researchyangu Ndogo nimegunduaAsilimia 60 ya wanawake wanaopata hivyo vitu makazini ni kwa kutoa rushwa ya ngono30 ni kwa ajili wao wana watu wanaowajua10 wao wameingia kwa njia ya kawaidaHii imetokea sana hata humu ndani wapo wahanga mbalimbali ya wanawake mbalimbali walioingia kwenye hii disasterkwa pande zote mbiliWanaume nameWanawakeNilichogundua kuwa hii kitu haiepukiki kwani kwa mfumo wa maisha ulivyo tight halafu inatokea chance ya mtu kukupa kazi au cheo ila tu kwa kigezo cha akuvuechip I kiukweli ni asilimia 1% tu watakataa ila wote waliobaki wanakubali

ETI UNASEMA 60 % YA AKINADADA WAFANYAKAZI WAMEPATA KAZI KWA KUTOA RUSHWA YA NGONO Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin