Thursday, 16 April 2015

BIKIRA WA KISUMKUMA SASA ALA SHAVU NONO KWENYE RADIO YA EFM


Kuna ule msemo usemao mlango mmoja ukifungwa mwigine unafuka, hii imemkuta jamaa mwenye mikogo mingi kwenye mitandao ya kijamii anayejulikana kama Bikira wa Kisukuma ama Seth Giovinna...Baada tu ya Waandaji wa Party za Instagram kumfukuza Kazi kwa kumwandika vibaya mtandaoni sasa Bikira huyo wa Kisukuma Anasikika kama mtangazaji katika Redio inayokuwa kwa kasi ya Ajabu hapa Dar Redio EFM , Ni week ya Pili sasa anasikika akitangaza sambamba na Gadner G Habash Kwenye Segment ya UBAONI......

Bikira wa Kisukuma Ameandika Hivi Kwenye Page yake ya Instagram:

WHAT MORE CAN I SAY...

"Kuna Mstari kwenye Biblia ninaupenda,LUKA 9:60 Inasema WAACHE WAFU WAZIKE WAFU WENZAO,LAKINI WEWE NENDA KAUTANGAZE UFALME WA MUNGU.
Mstari huu simply means,Ukiamua kufanya Jambo usikubali kuyumbishwa na CHOCHOTE KILE..
Nina mengi ya kuongea kuhusu wewe ila nitajaza gazeti,lakini Kabla Hujafa ACHA NISEME maana hakuna Faida kuisifia Maiti isiyosikia wakati leo uko hai unasikia Ngoja tuseme...Hakuna kitu kizuri kama kugusa maisha ya mtu,ni zaidi ya kumpa mtu huyo Fedha na Ukwasi..A touched life is a changed life,forever..Najua umegusa maisha ya watu wengi sana,wengine tulijifunza kusema ASANTE...Niseme asante kwa kugusa maisha yangu pia kwa muda ambao sikutegemea..Umeniamini na umenifanya nijiamini zaidi..Sikuwahi kutegemea Siku 1 ntakuwa Redioni japo nilijua Kipaji cha Kuongea ninacho but You have made it possible...Its 2weeks now tuko pamoja pale UBAONI on EFM RADIO Saa9 hadi 1 usiku nikijifunza na kupata Uzoefu wako lakini I feel like I have been there for years,Comfortable kama Mzoefu wa miaka mingi.Umeingia kwenye Rekodi zangu kwa kugundua Kipaji changu na umeiokota Almasi Mchangani haikuwa imeshtukiwa tu....Ur an amazing person with pure love and Honesty,Ur a blessing,A Hero,A brother,A friend,and A True Mentor...
Mungu akubariki as u keep blessing others katika dunia hii..

BIKIRA WA KISUMKUMA SASA ALA SHAVU NONO KWENYE RADIO YA EFM Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin