Wednesday, 29 April 2015

BAADA YA KUTUA BONGO DAVIDO ALIKIRI WAZI KUWA HAWA NDIYO WANAWAKE WAREMBO ALIO TOKEA KUWATAKA KIMAHABA


PLZ SEND: TMT 07 KWENDA 15678


Maneno hayo yamesemwa na msanii mashuhuri sana wa Nigeria, Davido pale alipokutana na picha za wagombea umiss wa mwaka 2013 pindi alipotembelea Tanzania akiwa katika kazi zake za kimziki.
Msanii huyo alidai kuwa alikuwa anafikiria kuwa ni Nigeria ndiyo inayongoza kwa wanawake warembo barani Afrika, lakini sasa hivi kagundua kumbe kuna eneo ambalo linastahili sifa hiyo ambalo ni Afrika ya Mashariki. Kweli kutembea kuona mengi!!!
Davido aliongezea kuwa wanawake mvutia zaidi ni Watanzania na wale wenye asili ya Kiutu na Kitusi wa Burundi na Rwanda.aliendelea kufungka zaid ka mpka wanamtamanisha kuoa huku...Alidai kuwa warembo wa maeneo hayo walivyo wazuri na wenye mvuto wa kimapenzi, utadhani kuwa hawaendi chooni ama hawakuzaliwa na binadamu wa kawaida!!!!! Jamaa kashikwa pabaya kweli kweli!!
Watu wengi sana walikubaliana na maneno ya msanii Davido kwa maana ni dhahiri kuwa, ukifanya utafiti kuanzia kule kusini mwa afrika mpaka kaskazini, magharibi mpaka mashariki, utajionea


BAADA YA KUTUA BONGO DAVIDO ALIKIRI WAZI KUWA HAWA NDIYO WANAWAKE WAREMBO ALIO TOKEA KUWATAKA KIMAHABA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin