Saturday, 28 March 2015

WAKUTWA WAMENASANA WAKIFANYA MAPENZI MLIMA DON BOSCO DIDIA, SHINYANGA
Habari tulizozipata hivi punde ni kwamba mwanamme mmoja na mwanamke wamekutwa wamenasana wakati wakifanya mapenzi kichakani katika milima ya Don bosco iliyopo karibu na Shule ya Sekondari Donbosco katika kata ya Didia wilaya ya Shinyanga vijijini mkoani Shinyanga.

SKY BONGO imeambiwa kuwa watu hao wamekutwa wamenasana katika mlima huo jioni hii wakati wakivunja amri ya sita huku ikidaiwa kuwa mwanamke huyo ni mke wa mtu.

Inaelezwa kuwa mwanamme ni mwendesha bodaboda anayefanya safari zake kutoka Didia hadi Buyubi na mwanamke anadaiwa kuwa mkazi wa kijiji cha Chembeli.
Tutawaletea taarifa kamili hivi punde endelea kutembelea mtandao wako huu maridhawa

WAKUTWA WAMENASANA WAKIFANYA MAPENZI MLIMA DON BOSCO DIDIA, SHINYANGA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin