Monday, 2 March 2015

WAKUBWA TU: MKE WANGU ANANILAZIMISHA NIMLE TIGO,NISAIDIENI KWA USHAURI


Jamani poleni na majukumu ya kila siku. Najua mnaendelea vizuri.
Ndugu zangu nahitaji ushauri wenu kwani nipo njia panda. Mimi ni kijana nipo ktk ndoa kwa miezi mitano sasa. kuna jambo ambalo mke wangu amelianzisha kwa siku za karibuni, mara nyingi tunaposex 

ananiambia anataka nimwingilie kinyume na maumbile (kula tigo). Mwanzoni nilidhani labda ni mzuka wa mahaba umepanda lakini naona ni jambo ambalo linajirudia mara nyingi tunaposex.

Mimi sijawahi kula tigo na sipendelei kula tigo. Kwa keli najiuliza nifanye jambo gani lakini nakosa jibu. ndoa yetu ni ndoa halali tena ya kikiristo ambayo hairuhusu kujamiiana kinyume na maumbile.
Wanajamvi naombeni ushauri wenu ktk hili.

WAKUBWA TU: MKE WANGU ANANILAZIMISHA NIMLE TIGO,NISAIDIENI KWA USHAURI Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin