Monday, 30 March 2015

TAZAMA VIDEO YA MSANII JUDY INTERTAINMENT WA DODOMA ANAYEHAMASISHA AMANI

Judy Entertainment ni msanii chipukizi anayekuja kwa kasi kubwa katika Tasnia ya Muziki wa Kizazi kipya chini Tanzania,Judy ni msanii ayetokea mkoani Dodoma na aina ya mziki anayeufanya ni tofauti kidogo na wasanii wengine wa Bongo Fleva...Yeye nyimbo zake ni za kuhamasisha Amana... Hivyo basi kama unahitaji kufanya naye kazi unaweza kuwasiliana naye kupitia..0713353277/ 0767061857... NAKUALIKA KUTAZAMA VIDEO YA NYIMBO YAKE INAYOITWA AMANI

TAZAMA VIDEO YA MSANII JUDY INTERTAINMENT WA DODOMA ANAYEHAMASISHA AMANI Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin