Friday, 27 March 2015

TAZAMA PICHA CHAFU ZA AMBER ROSE AMBAZO HAZINA MAADILI....


11055866_373486159504502_1700260159_n
Tangu aachane na mume wake, Wiz Khalifa, Amber Rose amekuwa kama fisi aliyekabidhiwa bucha.

11093120_1798809343677755_1870110766_n
If only this beach was actually Topless #Maui, ameandika kwenye picha hii aliyoiweka Instagram
Mrembo huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyempata kwenye ndoa yake na Wiz ni kama ameunyofoa mshipa wake wa aibu na kumwaga radhi au tuseme kuwapa raha mashabiki wake wa kiume wanaomfollow Instagram kuwa kuwaonesha ni kitu fani Wiz anakikosa.

TAZAMA PICHA CHAFU ZA AMBER ROSE AMBAZO HAZINA MAADILI.... Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin