Tuesday, 3 March 2015

SAUTI: JAYDEE AKIZUNGUMZA JINSI ALIVYOGUSWA NA MSIBA WA JOHN KOMBA

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Lady Jaydee azungumzia kifo cha Kapten John Komba ambaye alipata umaarufu zaidi kupitia sana ya muziki.

Akizungumza na mwandishi wa habari hii Jaydee aliweka wazi hisia zake ambapo alisema kuwa anamkumbuka marehemu kwa mambo mengi ikiwemo nyimbo zake za maaombolezo ambapo kipindi hicho yeye ndio alikua anaanza muziki.

SAUTI: JAYDEE AKIZUNGUMZA JINSI ALIVYOGUSWA NA MSIBA WA JOHN KOMBA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin