Monday, 23 March 2015

PEB POL AFANYA KITU MBAYA MWANAFUNZI WA UDOM KWENYE UKUMBI WA MATEI LOUNGE

Amini usiamini msichana huyu ambaye ni Dent mzuka ulimpanda na kuamaua kumkamata kisawasawa Ben Pol tena kwa hisia kali ambapo kama ingekuwa ni chobingo usingevumilia, Hiyo ilitokea jana kwenye Usiku wa Sophia ndani ya Matei lounge Dodoma
Mambo ndivyo yalivyokuwa Matei Lounge kwenye Usiku wa Sophia: Chezea hisia wewe
daaaaaaaaaa 
 baada ya zoezi kumalizika ben ikabidi ampongeze Dent hiyo 

PEB POL AFANYA KITU MBAYA MWANAFUNZI WA UDOM KWENYE UKUMBI WA MATEI LOUNGE Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin