Tuesday, 17 March 2015

PAMOJA NA UMAARUFU BADO NI HADHI KUWA MAMA!!! TAZAMA WATU HAWA MAARUFU WAKIJIVUNIA KUUJAZA ULIMWENGU.


Siku ya leo kwenye peruzi na kudadisi inaonaneka kwa wasichana maarufu wengi hapa bongo wanahofia kuwa mama (kubeba mimba na kujifungua), labda kutoka na kuishi sana maisha ya kimaigizo kiasi wana ingia kwenye mahusiano na watu wakimaigizo igizo kiasi cha kuwatisha wenyewe kuwazalia watoto!! au ni kuhofia kupoteza mvuto katika tasnia hiyo anayofanyia kazi!!, Hii haipo hivyo katika nchi zilizoendelea tazama baadhi ya watu maarufu huko marekani waliokubali kubeba mimba na kujivunia hilo jambo mbele ya majarida makubwa kwa kuweka picha zao wakiwa watupu kabisa!!.
BEYONCE

Kourtney Kardashian

 

Kelly Rowland

 

Alicia Keys

 

Britney Spears

 

Christina Aguilera

 

Mariah Carey

 

 

Au ndo mana diamond kaamua kutunguka kwa zari poleni kina wema, jokate, na penny!! inshort hao juu ni marole model wenu na bado wamezaa kwa nini mumchoropolee diamond vichanga vyake arghhhh!!! (kwa mujibu wa diamond mara kadhaa ametoa kisingizio hicho cha wadada hawa ndio tatizo katika kumfanya awe baba kama ali kiba).

PAMOJA NA UMAARUFU BADO NI HADHI KUWA MAMA!!! TAZAMA WATU HAWA MAARUFU WAKIJIVUNIA KUUJAZA ULIMWENGU. Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin