Thursday, 26 March 2015

NUH MZIWANDA PAMOJA NA KUPEWA MKONG'OTO MARA KWA MARA AJISIFU KUMLA SHILOLE!!

Mbongo flava nuh mziwanda pamoja na kukumbwa na kichapo mara kwa mara wadakuzi wa michepuko wamebaini kumbe hilo sio tatizo kwake maana yupo pale kujia vyake tu hichi ndicho alichoweka kwenye kurasa yake ya instagram!!!.
Nuh alitupia picha hiyo hapo chini nakuweka ujumbe huu "Mtoto Mbichiii namla kiulaini".

NUH MZIWANDA PAMOJA NA KUPEWA MKONG'OTO MARA KWA MARA AJISIFU KUMLA SHILOLE!! Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin