Tuesday, 24 March 2015

NUH MZIWANDA AFUNGUKA KUHUSU KUPIGWA NA SHILLE PIA KUTOKUJUA LUGHA YA KINGEREZA

Shilole na Nuhu Mziwanda

Kwa mara ya Kwanza Udaku TV imemtafuta Nuhu Mziwanda na Kufanikiwa kupata Mahojiano kuhusu Mambo kadhaa ambayo yame andikwa sana na Magazeti na pia Mitandaoni ...

Nuhu Mziwanda Ameongea Makubwa Kuhusu Shilole anavyompiga magumi kila mara , Pia ameongea kuhusu Michapio ya Kingereza anayoandikaga kwenye Page yake ya Instagram

NUH MZIWANDA AFUNGUKA KUHUSU KUPIGWA NA SHILLE PIA KUTOKUJUA LUGHA YA KINGEREZA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin