Friday, 13 March 2015

MMMH!! WEMA SASA COOL DOWN, KILA AKIACHANA NA DIMOND YANAIBUKA HAYA!!! MWANZO MAREHEMU KANUMBA SASA CHALZ BABA


enzi hizo wema na chaz baba mahaba niue!!

Wema Sepetu amekanusha kurudiana na mpenzi wake wa zamani Chaz Baba japo amedai kuwa muimbaji huyo wa muziki wa dansi ndiye mwanaume wa pekee ambaye hakuwa na masuala ya kiswazi baada ya kuachana Wema ameiambia U Heard ya Clouds FM Jumatano hii kuwa Chaz Baba kwa sasa ni mshkaji wake na hata alipooa alimchangia pesa.
wakati penzi la wema episode 1 akijivinjari na diamond kabla jokate hajachukua nafasi!!
 Chaz Baba alikuwa ni msikaji wangu naweza kusema ndio boyfriend pekee asiye na mambo ya Kiswahili, amesema. Tulizinguana tukafika pointi tukasaidiana, ameoa nikamtolea mchango, nimeenda kwenye harusi yake sioni tatizo. Mimi na Chaz Baba tulikuwa tunapendana na baada ya kufikia point ya kuachana tukaachana, tukawa hatuongei for sometime mwisho wa siku baada ya kila mmoja kukaa kwake tukawa tunazungumza. Sio kama watu wengine tukigombanaga tunatafuta mabifu, hatusemeshani, ameongeza mrembo huyo aliyesisitiza kuwa sina bwana.

hii ni moja ya kurasa ya mbele ya gazeti moja la udaku enzi hizoooo!! mara baada ya msiba wa kanumba!!
 Kwa kumbukumbu za michepuko team hii si mara ya kwanza madame "wema sepetu" kumsifia mahabuba wake wa zamani mara baada ya kutosana na chibu "diamond" ashawahi msifu na kusema hakuna mwanaume kama marehemu kanumba kupitia kipindi cha Mkasi kinachorushwa hewani na Eatv host akiwa salama jabir na msimu huo diamond akiwa na jokate leo tena baada ya zari na diamond kufanya yao amekumbuka luvi davi la chaz baba zee la mayenu duuuuh hii hatari sasa!!.

MMMH!! WEMA SASA COOL DOWN, KILA AKIACHANA NA DIMOND YANAIBUKA HAYA!!! MWANZO MAREHEMU KANUMBA SASA CHALZ BABA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin