Tuesday, 24 March 2015

MASOGANGE SASA AKILI NI KWA KINA IGO!! NIGERIA TU, BATA LINA LIKA SOUTHToto la kibongo hili kweli macho kwenye fedha tu mara baada ya kujichimbia afrika kusini kwa muda mrefu na kusemekana michakato ya mapedeshee anao dili nao wengi ni kutoka south!!, Saa mbovu imeanza kujilidhisha na tetesi  hizo kwa takribani mwezi mmoja na nusu sasa agnes masogange anaonekana kumkamata kisawa sawa bwana mdogo wa kinigeria aitwaye teknomiles anayefanya muziki kwa hapa afrika akiwa kafanya ngoma kama everything na dance.
Haba limekolea mpaka kufikia kubadili profile picha zao kwenye kurasa mbali mbali za kijamii wanazotumia ikiwemo instagram.
Swali la kujiuliza penzi lipo kweliiiiii hapo masogange au ndo  baada ya sekta ya poda kubuma sasa jicho kwa kina Igooo .........
huhu ndo Tekno mwenyewe!!  hapa akiwa south.

MASOGANGE SASA AKILI NI KWA KINA IGO!! NIGERIA TU, BATA LINA LIKA SOUTH Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin