Friday, 6 March 2015

KWELI DIAMOND SUKARI YA WAREMBO!! DUUUH HII BALAA KWA HILI ALILOJIBU MENINAH HAPA KUNA KILA DALILI CHIBU KESHA CHAKACHUA!!
Kuna tetesi za miezi kadhaa sasa mtaani (ambazo sisi binafsi hatujaweza kuzithibitisha) kuwa Meninah alitoa mimba aliyopewa na Diamond Platnumz.
Wawili hao waliwahi kudaiwa kuwa na uhusiano lakini wote walikanusha.
Mtangazaji mahiri wa masuala ya udaku nchini, Soudy Brown kupitia You Heard ya Clouds FM amejaribu kumchimba Meninah kuhusiana na tetesi hizo ambazo zinaongeza kuwa Diamond alimpiga chini baada ya kiumbe chake kukatishwa.
Hata hivyo huenda jibu alilopata mtangazaji huyo hakuwa amelitegemea.
"Kwani (Diamond) sio rijali" , alihoji mrembo huyo. "Yeye hafai kumbebesha mwanamke mimba,", alisisitiza Meninah huku akicheka.

KWELI DIAMOND SUKARI YA WAREMBO!! DUUUH HII BALAA KWA HILI ALILOJIBU MENINAH HAPA KUNA KILA DALILI CHIBU KESHA CHAKACHUA!! Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin