Sunday, 1 March 2015

KUTANA NA MWANAUME ANAYEPATA PERIOD KAMA MWANAMKE, MADAKTARI WASEMA ANA KIZAZI !!!!Mfanyabiashara mmoja huku Uk Amejikuta kipigwa na Butwaa Baada ya Madaktari kumwambia Kuwa haumwi Cancer Kama alivyokuwa Akifiria Baada ya kila Mara Kupata Haja kubwa na Mkojo zikiwa zimechanganyika na Damu, lakini kumbe ana kizazi na hizo damu anazoona zikitoka kwa njia ya haja kubwa na mkojo ni pale anapokuwa katika Siku zake za Mwezini Ama Period,
 Madaktari wamemwambia kwa hali hiyo hata kushika mimba anaweza kama akitokea akitaka, Kwa sasa anajiandaa kwa upasuaji ili kuondoa kizazi hicho

KUTANA NA MWANAUME ANAYEPATA PERIOD KAMA MWANAMKE, MADAKTARI WASEMA ANA KIZAZI !!!! Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin