Monday, 23 March 2015

KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE (T*GO) HAKUFAI,EPUKA HASARA KUBWA NA MAMBO YA AIBU…SOMA HAPA


image
Huo mchepuko sio dili baki njia kuu uliyopewa na Mungu uitumie…….ha ha ha ha haaaa….
Ndugu  zangu, ni  imani yetu kuwa jamii
yetu inahitaji kuelimishwa sana ili
tuweze kuikomboa  mikononi mwa
hii  madhambi ambayo ni makubwa

image
kwa kweli……usione nacheka,moyoni naumia sana….hasa lilivolongezeka na hili wimbi laaniwa la ushoga na Usagaji nchini Tanzania.. .
Tusipende kuiga kila kitu toka kwa WEUPE jani.Kabla hujafanya maamuzi yoyote Ni bora ukumbuke mambo
yafuatayo:-
1. TIGO Sio tendo asilia katika swala zima
la ngono na mapenzi hivyo kumbuka
unapoamua kugawa tak* kuwa na uhakika
ndio kitu unataka kukifanya na sio kukifanya kwa vile “mchumba ” kaomba/anataka…..na ujue ushakubaliana ma madhara yake mbaya na makubwa ya aibu.
Wewe ndio mwenye maamuzi makuu ya
nini unataka kifanyike mwilini
mwako. ……..
2. Mpaka  sasa hakuna kuna kondom  imara yenye uwezo
wakustahimili joto la huko “nyuma” …..usidanganyike kwani
Kondom za kawaida  husababisha
muwasho utakaoweza kukusababishia
maambukizo mengine yatokanayo na
wadudu asilia walioko sehemu hiyo
ya haja kubwa……Topiki ndio inaenda ivo,we shangaashangaa tu uumie…
3. Mara mishipa ya makalioni  ikitanuka
kutokana na kufanywa huko mara kwa
mara huwa haijirudi kama ilivyo kwenye
uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya
shughuli hiyo. nitaendelea ma mada hii kama nikipata comments na likes….tubaki njia kuu jamani,michepuko sio dili….

image

KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE (T*GO) HAKUFAI,EPUKA HASARA KUBWA NA MAMBO YA AIBU…SOMA HAPA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin