Sunday, 1 March 2015

KHADIJA KOPA NDANI YA MAJONZI KUFUATIA MSIBA MZITO WA MBUNGE WA MBINGA KAPTENI JOHN KOMBA

 Khadija Kopa (kulia) akiwa kwenye majonzi makubwa ya kuondokewa na Jabali la muziki wa kwaya nchini na kiongozi wa TOT Kapteni John Komba.
 Khadija Kopa akilia kwa uchungu baada ya kukutana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye msiba wa kiongozi wa TOT na Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni John Komba.
 Khadija Kopa (kulia) akilia kwa uchungu na wasanii wenzake wa TOT wakati wa kuhani msiba wa Kapteni John Komba

KHADIJA KOPA NDANI YA MAJONZI KUFUATIA MSIBA MZITO WA MBUNGE WA MBINGA KAPTENI JOHN KOMBA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin