Friday, 6 March 2015

JE YALIYOMO YAMO? , SHAMSA FORD ATINGISHA KIJUNGU HUKU AKIREKODIWA VIDEO NA ZAMARADI MKETEMA DUUUUH!! HATARI

Mtu hujivunia chake bwana!! safari hii bi dada shamsa ford ameamua kuonyesha fans wake kwamba kama ujazo anao wala hajazingiziwa ni kajaza kweli kweli pale alipotupia kinguo cha mitego na kujitikisa kwa mwendo wa kuchanganya chepukaji lolote lile huku akirekodiwa na zamarad mketema hebu shuhudia mwenyewe video hiyo.

JE YALIYOMO YAMO? , SHAMSA FORD ATINGISHA KIJUNGU HUKU AKIREKODIWA VIDEO NA ZAMARADI MKETEMA DUUUUH!! HATARI Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin