Friday, 13 March 2015

JE UPIGAJI PICHA HIVI NDIO KUWA KISASA? YUMO LULU MICHAEL, AGNES MASOGANGE, LINAH SANGA, WOLPER NA MASTAA KIBAO WAMEPIGA KIMTINDO HUU!!


Kukua kwa teknolojia ya habari na mawasiliano na mitandao ya kijamii kumezidi kuibadili dunia sio kuwa tena kama kijiji bali familia mana jambo linalotokea marekani ni rahisi kufika afrika mashariki ndani ya sekunde hiyo hiyo.
Swali kwa dada zetu je mtindo wa upigaji picha wa namna hii huwavutia zaidi wapiga picha wenyewe au huwa ni maalumu kwa mlengwa fulani?
Fungukeni kwa ku comment hapo chini!!!
JE UPIGAJI PICHA HIVI NDIO KUWA KISASA? YUMO LULU MICHAEL, AGNES MASOGANGE, LINAH SANGA, WOLPER NA MASTAA KIBAO WAMEPIGA KIMTINDO HUU!! Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin