Wednesday, 25 March 2015

JE HUU UNAWEZA KUWA USHAURI MZURI KWA MWANA DADA RAY C? KAMA WEUPE DILI BASI UBUYU UNGEPAKWA RANGI!!


Mkali huyu wa Bongo flava ndani ya mahadhi african pop Rehema chalamila almaarufu kama RAY C amepita katika nyakati nying za ups and down na sasa amesimama tena na kushinda wimbi la kutumia madawa ya kulenya lilomtesa kwa muda mrefu na kuharibu kabisa muelekeo wote wa mziki aliokuwa akiufanya tena katika kiwango bora kabisa hapa tanzania mana ili kuwa ukimtaja lady jay dee ambaye bila shaka ni komando kwelikweli kwa kumudu kukaa kwenye chati kwa zaidi ya muongo, hali ipo tofauti kwa ray c wimbi hilo la madawa lilimporomosha kabisa kisaana shukrani za zati ziende kwa mheshimiwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania ndugu J.K kwa kuokoa jahazi lilobeba radha iliyokuwa imepotea masikioni mwa watanzania kwa muda mrefu.
hapa mwanadada ray c akiinadi bidhaa yake ya kukoboa ngozi

enzi za ray c ray c kweli akiwa kwenye ubora wake kabla hajautamani uzungu -- black is beuty

hii ni kupitia mtandao wa kijamii ray c akitangaza bidhaa ya kugeuza rangi a.k.a mkorogo kwa mbwembwe nyingi
Yaliyopita si ndwele tugage yajayo sasa Ray c kaurudi vyema na kuanza kufanya record za nyimbo zake mbili tatu na la kufurahisha zaidi ni kuamua kuwa mjasiria mali wa vipodozi hapo sasa ndipo tatizo linapoanzia maana hicho kipodozi anachonadi kinaonyesha dhahiri kilivyokoboa rangi yake ya asili ambayo ilikuwa na mvuto kweli kweli!!, kupitia mitandao ya kijamii ameendelea kunadi bidhaa yake huku akihamasisha kinadada watumie mzigo huo ili wafanane na yeye swali ni je? ina maana weupe dili? KWA LEO NI HAYO TU.

JE HUU UNAWEZA KUWA USHAURI MZURI KWA MWANA DADA RAY C? KAMA WEUPE DILI BASI UBUYU UNGEPAKWA RANGI!! Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin