Thursday, 12 March 2015

JAMANI NINA MPENZI ILA KILA SIKU NALALA MWENYEWE,SASA NIMECHOKA KABISA


Mambo ya Mapenzi

  Naitwa Lucy, Nimetokea kumpenda kijana mmoja ni mwaka sasa toka niwe nae ila kila siku yuko busy eti kuna mambo ya kifamilia yana msumbua kila siku nalala mwenyewe yeye yuko kwao eti anafuatilia mambo ya familia. Mi simuelewi kuna muda huwa nahitaji kuwa na mtu karibu anikumbatie anibembeleze lakini ndiio niko mwenyewe. Naombeni Ushauri jamani, Au nitafute Mchepuko anipeti peti..!1 Mana huyu ninae mpenda asomeki..

JAMANI NINA MPENZI ILA KILA SIKU NALALA MWENYEWE,SASA NIMECHOKA KABISA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin