Thursday, 19 March 2015

HUYU NDIE MTOTO WA AJABU MWENYE UWEZO WA KUONGEA KIINGEREZA NA KUKOKOTOA HESABU BILA KUINGIA DARASANI

Mtoto Nice Valentino (3) akiwa ndani ya ofisi za Global Publishers.
Mtoto Nice akiwa katika pozi na Mtangazaji wa Global TV Online, Mourad Alfah.
MTOTO Nice Valentino mwenye miaka mitatu ambaye ana uwezo wa kipekee wa kuongea kiingereza fasaha kabisa bila kigugumizi pamoja na kukokotoa mahesabu leo ametembelea ofisi za Global Publishers na kufanyiwa mahojiano na Global TV Online.
Mbali na kuongea kiingereza fasaha, Nice hajawahi kwenda shule yoyote kujifunza lugha hiyo ya kimataifa. Mahojiano na mambo yake kamili yatarushwa Global TV, fuatilia hapa hapa mtandao namba moja Bongo

HUYU NDIE MTOTO WA AJABU MWENYE UWEZO WA KUONGEA KIINGEREZA NA KUKOKOTOA HESABU BILA KUINGIA DARASANI Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin