Tuesday, 24 March 2015

HUDAH THE BOSS AJA NA UJIO MWINGENE WA PICHA ZA UTATA HUKO INSTAGRA UTADHANI HANA WAZAZIMREMBO kutoka nchini Kenya Huddah Monroe, ameendelea kutupia picha zake za 'utupu' kupitia mtandao wa INSTAGRAM kama kawaida yake.
Staa huyo ambaye kwa sasa yupo Abuja nchini Nigeria ametupia picha zake akijiachia na mavazi ya kuogelea huku nyingine akiwa na mwenzake. 

HUDAH THE BOSS AJA NA UJIO MWINGENE WA PICHA ZA UTATA HUKO INSTAGRA UTADHANI HANA WAZAZI Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin