Saturday, 28 March 2015

HAKI YA MUNGU HII NI AIBU KUBWA SANA,NABII ANASWA NA MKE WA MUUMINI WAKE


Huyu ni moja ya viongozi wa Cherubim and Seraphim Movement Church Worldwide, pia ni muanzilishi wa Ayo Nio katika wilaya ya Idimu katika jimbo la Lagos.

Anajulikana kwa jina maarufu la "Special Apostle/Prophet I.T. Adewoye" yaaani ni nabii wakipekee...Alishindwa kuzuia hisia zake za kingono na kujituta katika fumanizi zito la kukutwa na mke wa moja kati ya waumini wa kanisa lake.....HATARI SANA!!!


HAKI YA MUNGU HII NI AIBU KUBWA SANA,NABII ANASWA NA MKE WA MUUMINI WAKE Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin