Tuesday, 31 March 2015

DIAMOND THE PLATNUMZ NA ZARI WAHUDHURIA KWENYE MSIBA WA ABDUL BONGE JIJINI MOROGORO MKUYUNI

Diamond  Platinum akiwa kweny mazishi ya Abdu Bonge Mkoani Morogoro leo.
Diamond  Platinum Ameongozana na Mpenzi wake Zari the Big boss kwenye Mazishi ya Aliyekuwa Mwanzilishi wa Kundi la Tip top Marehemu Abdul
Bonge  Aliyefariki Majuzi na Mwili wake kusafirishwa kwenda Morogoro Tayari kwa Mazishi yanayofanyika Mkuyuni Mkoani Morogoro. 
BOFYA KUONA PICHA KIBAO>>

DIAMOND THE PLATNUMZ NA ZARI WAHUDHURIA KWENYE MSIBA WA ABDUL BONGE JIJINI MOROGORO MKUYUNI Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin