Saturday, 28 March 2015

BINTI HUYU ANAMATATIZO NA MUME WAKE,HIVYO BASI ANAOMBA USHAURI....

Naitwa Nancy nipi Nairobi, Kama mnavyoniona hapo nimeolewa ila tatizo mume wangu hatulii nyumbani mara kwa mara ana safiri na akirudi hata saa moja akai anaoga na kuondoka tena, kwakweli nimechoka naye na mpaka sasa nahitaji kumpata mwanaume mwingine wa kuniliwaza. Ndugu zangu nitakuwa na makosa au nipo sahihi kwa maana siipati haki yangu ya ndoa, yaani tendo lenyewe la kunifanya mpaka kuitwa mwanamke. NAOMBENI USHAURI WENU.

BINTI HUYU ANAMATATIZO NA MUME WAKE,HIVYO BASI ANAOMBA USHAURI.... Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin