Wednesday, 4 March 2015

BAADA YA KUSIFIANA INSTAGRAM HATIMAYE AGNESS MASOGANGE NA MKENYA CORAZON KWAMBOKA WAKUTANA


Agness Masogange na Mwanadada Mkenya Corazon Wote wamejaliwa maombo mazuri yenye kuwafanya wanaume wa run mad, Hawa walianza kusifiana Kupitia Instagram huku wakiwa hawajakutana uso kwa uso , Agness akiweka picha basi Corazon ata comment na kuisifia vile vile Corazon akiweka picha Masogange ata comment kuisifu , Wawili Hao hatimae wameonana South Afrika na Kula Bata Pamoja.....Kwa unavyoona Who is Cute zaidi?

BAADA YA KUSIFIANA INSTAGRAM HATIMAYE AGNESS MASOGANGE NA MKENYA CORAZON KWAMBOKA WAKUTANA Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin