Thursday, 12 February 2015

VIDEO YA UTUPU ILIYO LEAK MTANDAONI YAMTESA MSANII NYOTA NDOGO


Mwanamuziki makubwa hapa Afrika Mashariki, Nyota Ndogo kutoka nchini Kenya amejikuta katika wakati mugumu baada ya kugundua kuwa amerekodiwa video kwa siri wakati yupo chumbani anapaka mafuta huku akiwa MTUPU. Hii ilitokea baadaa kumaliza KUPAFOMU na kupelekwa CHANGING ROOM ambako ndiko video hii ilichukuliwa kwa siri.

Soma hapa alichoandika kwenye ukurasa wake wa FACEBOOKNaomba hii iwefundisho kwa wasanii wote wakike. Pole sana Nyota Ndogo....Daah ila isiwe mambo ya kutafuta.....Kozi umepoatea sana kwenye GEMU

VIDEO YA UTUPU ILIYO LEAK MTANDAONI YAMTESA MSANII NYOTA NDOGO Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin