Thursday, 19 February 2015

UKIONA KIVAZI CHA AIBU ALICHOKIVAA MKE WA RAPPER WEEZY KHALIFA AMBER ROSE KWENYE MTV VMAs ZIKO HAPA.

 

Amber Rose ambaye ni mke wa rapper Weezy Khalifa siku za hivi karibuni ametia fora baada ya kuvaa kivazi cha ajabu ambacho kinaacha sehemu kubwa ya mwili wake wazi kwenye event ya MTV VMAs iliyofanyika kule Inglewood Sunda,Mashabiki wa mwanamama huyo wameoneka kushangwaza na kitendo cha mama huyo kuvaa kivazi hicho huku akipiga picha kwenye red Capert na watu mbalimbali,picha zingine ziko chini hapa.....


 


 


 

UKIONA KIVAZI CHA AIBU ALICHOKIVAA MKE WA RAPPER WEEZY KHALIFA AMBER ROSE KWENYE MTV VMAs ZIKO HAPA. Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin