Wednesday, 25 February 2015

Nuh Mziwanda na Shilole wana #Breaktheinternet na hii picha,Vifua wazi

shilolee 3
Kupitia Account yake ya Instagram Nuh Mziwanda amepost picha hiyo akiwa na mpenzi wake Shilole "Shishi Baby" wakiwa bafuni huku Shilole akionekana amekenua "Kufurahi".
Picha hii imeleta mtazamo tofauti kwa baadhi ya mashabiki wao huku wengine wakifurahia na wengine kuonesha kukerwa na kitendo hicho

Nuh Mziwanda na Shilole wana #Breaktheinternet na hii picha,Vifua wazi Rating: 4.5 Diposkan Oleh: Boss Ngasa

0 comments:

Post a Comment

LinkWithin